Wapi review cpa ?

laun

Senior Member
Sep 5, 2011
111
26
Wadau kwa hapa mjini ni review class hipi poa kwa ajili ya board exams,especially module E and F
 
Kama ni dar, kuna sehem nyiny ila kwa module E, kwa Tax kuna jamaa Anaitwa swallo anafundishia apt, International finance kuna mwalim anaitwa Dr Nkoba anafundisha boma na biafra ni mzuri sana, financial report Rashid wa Boma.
Kwa module F, MA kuna mtu anaitwa Edson, Conte &audit apt ,mwisho ni juhudi binafsi mie nmesoma apt mwanzo mwisho so kunamapungufu kias ila unakomaa kama utaweza soma kwa kufwata walim basi fanya ivo.
 
Kama ni dar, kuna sehem nyiny ila kwa module E, kwa Tax kuna jamaa Anaitwa swallo anafundishia apt, International finance kuna mwalim anaitwa Dr Nkoba anafundisha boma na biafra ni mzuri sana, financial report Rashid wa Boma.<br />
Kwa module F, MA kuna mtu anaitwa Edson, Conte &amp;audit apt ,mwisho ni juhudi binafsi mie nmesoma apt mwanzo mwisho so kunamapungufu kias ila unakomaa kama utaweza soma kwa kufwata walim basi fanya ivo.
Thanx kwa taarifa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom