Wapi professional wa kupaka gari rangi hapa Dar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi professional wa kupaka gari rangi hapa Dar?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kingdom_man, Mar 22, 2012.

 1. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Msaada ba'ndugu wapi sehemu naweza paka gari langu rangi, ambapo wanapaka rangi vizuri na kiutaalamu?, Wale wachina pale maeneo ya moroco vipi wanaweza fanya kazi nzuri au niende wapi hapa mjini?!, nataka badilisha gari yote rangi 4x4 anayojua garama anijuze pia.

  Asanteni!
   
 2. Mntambo

  Mntambo Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Piga namba hii uongee na fundi 0713586929
   
 3. M

  Mubii Senior Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jarubi wachina karibu na Rose Garden ama kituo cha Oilcom.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jamani acheni ulimbukeni basi!
  Hta kazi za kupiga rangi za magari afanye MCHINA hapa nchini kwetu?..aisee, ni aibu hii sana!
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Mkuu wanaofanya kazi humo sio wachina, ila wachina ndio wenye Makampuni na tatizo lipo palepale Watanzania tunashindwa kujimanage
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kaka, gereji ni za wachina, wao ndiyo wenye vifaa vya maana na wameajiri waswahili; wanafanya kazi nzuri, quality ya kazi ni nzuri na bei yao ni nzuri sana!
   
 7. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  So conclusion ni wachina wa pale rose garden ndio wanafanya kazi nzuri sio?! Haya naombeni contacts zao sasa!.
  Asanteni
   
 8. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Jamaa nimeongea naye yule barabarani kasema atanicheki tuongee!. Asante.
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kaka ni heri ukafika ofisini kwao ukaona na sample za kazi zao na aina za rangi walizonazo, then uwape specs na mahitaji yako ndy upate kotesheni, kuongea kwa simu tu unaweza shangaa ukapakiwa rangi ya nyumba kwa brashi ya manyoya...hihihihiiiii!
   
 10. M

  Mubii Senior Member

  #10
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bora ufike pale u negotiate maana kwa uzoefu wangu nao, huongea baada ya kuiona gari husika. Nazungumzia wachina waliokaribu na Rose Garden.
   
 11. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sasa tufanyeje? kama ndo haohao walioshikiria nchi sisi tufanyeje, Wabongo utaalamu wao huko kwenye makaratasi tu.
   
 12. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Mkuu nyuma ya jengo la airtel kuna jamaama ni mtaalam sana na anatumia mashine za kisasa kwenye chumba maalum na bei zake ni poa sana anajitangaza nilipata kazu ya magari ya tigo amefanya kazi nzuri sana no. yake ni 0715871657 Arnold Kweka
   
 13. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Niliwahi kupaka rangi pale, gari yangu ilikuwa metallic green iligongwa. Kwa kweli output yake niliifurahia sana maana hakukuwa na tofauti.

  Ila bei walinipiga kigongo cha uhakika!
   
 14. T

  Takayangu Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  So walikuchaji kiasi gani? Weka mambo hazarani ili tujaribu kukompea na sehemu nyingine
   
Loading...