Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 456
Jamani sijawahi kumwona Bakhresa kwa macho wala picha yake aise!. Huyu mdau kweli kafanikiwa kuweka maisha yake private yani hata kwenye mtandao hamna kitu. sasa aliyenazo picha za tajiri wetu nchini hapa hatuwekee humu tumfahamu!