High Vampire JF-Expert Member Nov 17, 2012 2,915 2,083 Dec 1, 2016 #1 Natafuta taa za kwenye bustani ziwe za solar nitazipata sehemu gani kama kuna mtu anauza naomba pm
mjukuum JF-Expert Member Dec 8, 2014 5,257 2,826 Dec 1, 2016 #3 kenstar said: Nenda kariakoo Click to expand... Kariakoo kubwa ungemwambia sehem gani
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,707 71,003 Dec 1, 2016 #4 Hakuna haja ya kwenda kwenye pm, nenda pale Lumumba wanapouza Spea mbalimbali za magari, utapata mpaka taa za ndege
Hakuna haja ya kwenda kwenye pm, nenda pale Lumumba wanapouza Spea mbalimbali za magari, utapata mpaka taa za ndege