Wapi nitapata vinyago vya kuvaa usoni

FatherOfAllSnipers

JF-Expert Member
Mar 13, 2019
1,638
4,210
Nahitaji vinyago vya kuvaa usoni (siyo vile vya kutisha)
Nahitaji vya sura tofauti na yangu, nadhani zinaitwa Mask, sina uhakika na jina hilo.
Wapi nitazipata?
Tofauti na Mask, zina jina lingine?
 
Doooh!! na hilo jina lako.....
Kwa huyo utapata
Screenshot_20190807-172835.jpeg
 
Nahitaji vinyago vya kuvaa usoni (siyo vile vya kutisha)
Nahitaji vya sura tofauti na yangu, nadhani zinaitwa Mask, sina uhakika na jina hilo.
Wapi nitazipata?
Tofauti na Mask, zina jina lingine?
KARIAKOOOKOO/MAKUMBUSHO NA MLIMANI CITY VIPO VINAUZWA
 
Kwa China ungepata maana ndio wataalamu wa sura za kuzuga, huku ni vinyago vya nyani na Ben ten ndo vimekithiri
Yes, hapa Bongo mara zote naona vinyago vya wanyama au katuni fulani, Ben Ten, Nyani n.k
Ila mimi nahitaji vinyago vya sura ya binadamu.
Kuna kampuni yoyote unayoifahamu japo inayofanya kazi hiyo?
 
Back
Top Bottom