Wapi nitapata private car za kwenda Mwanza jion hii?

Zingatia neno makubaliano mkuu, ikiwezekana kaongee na Dereva mweleze hali halisi
Mi sio msafiri ila some weekends nasafirishaga abiria nikiwa narudi home so nauli za baada ya mabasi zinapandaga. Maana abiria analazimika kutolala au alale aongeze garama za chumba one more night. Wengine wanawahi dili au kazi. Akipata kosta well and good ila gari ndogo ya abiria4 na driver? sijui lakini
 
Nenda pale Kituo cha Kibo, Ubungo utapata IT (Gari za Transit kwenda Rwanda/Burundi), hadi Kahama au ukabahatika ya Mwanza.
Watu vichwa maji kweli.

Mleta uzi hajaulizwa yupo maeneo gani ya nchi, anaelekezwa aende Kibo au Ubungo apate IT. Je, kama yupo Musoma inabidi aje Dar ndio apate usafiri huo?
 
Nenda kibo au misugusugu kama muda upo nenda bandarini wanakitolea magari madogo IT pale ni chap unapata IT utashuka Tinde then pale itakua imeshakua asubuhi saa nne kesho utakua mwanza
Ame kwambia yuko dar?


Vilaza wengi humu
 
Akismea ni KE watu ambao walikuwa hawana hata na nia ya kwenda Mwanza wanaweza toa magari yao wampeleka. Ila akitupiamo na kapicha sio aseme kwa maandishi tu. Maana anaweza kuwa KE lakini ukakuta kairthi sura ya baba.

Ha ha ha
 
Watu vichwa maji kweli.

Mleta uzi hajaulizwa yupo maeneo gani ya nchi, anaelekezwa aende Kibo au Ubungo apate IT. Je, kama yupo Musoma inabidi aje Dar ndio apate usafiri huo?
Kweli, tena maji ya Bahari! Ahsante kwa ujuba wako, Mwenyezi Mungu akubariki sana.
 
Back
Top Bottom