Wapi nitapata nguo zinazotengenezwa Thailand kwa hapa Tanzania

Bigbootylover

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
2,847
1,820
Habarini wakuu, katika maongezi na jamaa yangu mmoja(amewahi kusoma Thailand) aliniambia kwamba Thailand wanatengeneza nguo nzuri sana, kuna mtu pia aliwahi vaa shati kali hapo zamani ni rafiki yangu akaniambia kwamba aliletewa na ndugu yake toka Thailand. Hivyo nami nataka kujua kwa hapa Tanzania nani ni muuzaji wa nguo toka Thailand, nimejikuta navutiwa na nguo za hawa jamaa. Msaada Tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini usinunue online, direct from Thailand unaletewa mpaka mlangoni.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Mkuu fuatilia na mashati kutoka Indonesia..yako kama vitenge au kama yale aliyokuwa anavaa marehemu Mandela .
 
Katika vitu nahangangaika kupata ni mashati mazuri hasa casual wear! Zamanin kulikua na duka kariakoo ,jamaa alikuwa analeta mashati ya us, yalikuwa ghali kwa kipindi kile ila yalidumu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia mkuu, ila kuna mtu kaniambia yanapatikana Posta duka fulani karibu na round about yenye askari, bei ndo zile laki au hamsini moja, pia kuna jamaa wanauza city mall, ninachoogopa ni kuuziwa mashati ya kariakoo kwa bei kubwa, napenda mashati unique sio haya ya kkoo, mkivaa kama uniform

Nimewahi kwenda hapo kama sikosei, nilichoona Ni Bei tu kubwa ila mashati ya kwaida tu,
Hofu yako hata Mimi pia ninayo !kuuziwa mashati Yale Yale ya kariakoo kama uniform kwa Bei ya juu, na iliwahi kunitokea quality plaza nikinunua shati ghali kufua mara moja kwisha habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hicho mkuu, soln ni kuagiza tu
Nimewahi kwenda hapo kama sikosei, nilichoona Ni Bei tu kubwa ila mashati ya kwaida tu,
Hofu yako hata Mimi pia ninayo !kuuziwa mashati Yale Yale ya kariakoo kama uniform kwa Bei ya juu, na iliwahi kunitokea quality plaza nikinunua shati ghali kufua mara moja kwisha habari

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni vigumu kupata mashati mazuri kwa hapo TZ yanayotoka nje ya ya TZ, labda uwagize, unaweza kuambiwa kuwa nguo hii ni kutoka Thailand na ni kweli inatoka Thailand lakini sio ya ubora kama hiyo uliokuwa unahitaji, mm nilikuwepo India na hao jamaa wana vitu vizuri sana, nilikuja na nguo kutoka India kila mtu ananiulizia na tulikwenda k/koo kutafuta na tulizikuta lakini sio mzuri, naweza kusema zinazoletwa hapa TZ ni grade ya 4 ......
Habarini wakuu, katika maongezi na jamaa yangu mmoja(amewahi kusoma Thailand) aliniambia kwamba Thailand wanatengeneza nguo nzuri sana, kuna mtu pia aliwahi vaa shati kali hapo zamani ni rafiki yangu akaniambia kwamba aliletewa na ndugu yake toka Thailand. Hivyo nami nataka kujua kwa hapa Tanzania nani ni muuzaji wa nguo toka Thailand, nimejikuta navutiwa na nguo za hawa jamaa. Msaada Tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni vigumu kupata mashati mazuri kwa hapo TZ yanayotoka nje ya ya TZ, labda uwagize, unaweza kuambiwa kuwa nguo hii ni kutoka Thailand na ni kweli inatoka Thailand lakini sio ya ubora kama hiyo uliokuwa unahitaji, mm nilikuwepo India na hao jamaa wana vitu vizuri sana, nilikuja na nguo kutoka India kila mtu ananiulizia na tulikwenda k/koo kutafuta na tulizikuta lakini sio mzuri, naweza kusema zinazoletwa hapa TZ ni grade ya 4 ......

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaagizaje hayo mashati ya India? Bei zake zikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thailand kuna matapeli wa online grade one, wapo wanaNigeria, Ghana, Thai wenyewe kamba zao huchomoki. Njia rahisi fanya research online nenda mwenyewe .. nguo, viatu unique utavipata sokoni kwa kuchagua mwenyewe. Kuna masoko ya mtaani ya vitu uhatariii. Hutajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom