Wapi nitapata mkopo Tukuyu Mbeya?

Mabrek

Senior Member
Sep 17, 2013
125
21
habari wadau poleni na majukumu.mimi ni mwalimu sekondari ombi langu ni kutaka kujuzwa ni wapi naweza pata mkopo,kwa hapa tukuyu isiwe bank kwani nahitaj pesa kidogo tu kwaajili ya kuongezea mtaji ili nifungue biashara yangu na ntakuwa nairejesha kwa mwezi naombeni kujuzwa kwa hili na ushauri pia ahsanteni
 
Nenda pride Tanzania.hyo sio bank ni taasisi ya kifedha inayotoa mikopo.
 
Njoo Ndembela Sec, Mwone Mhasibu, atakupa kiasi utakacho in my nay escrow.
 
Back
Top Bottom