Wapi nitapata mkopo kwa ajili ya kulipia masomom yangu ya Masters!!

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Heshima zenu wakuu..
Naombeni taarifa ya sehemu nitakapoweza kupata scholarship kwa vyuo vya hapa nchini kwa ajili ya Masters. Mimi napendelea zaidi SUA kwa kuwa digrii yangu ya kwanza niliipata hapo na nataka kuendeleza fani. Pia ningependa nipate taarifa ya sehemu ninayoweza kupata mkopo kwa ajili ya kulipia masomo hayo zaidi ya bodi ya mikopo.
Asanteni..
 
Omba mkopo bodi ya mikopo.
 
Kuna scholarship zimetoka za kwenda kusoma india omba uende ukasome kwa information zaidi wasiliana na ubalozi wa india.
 
Heshima zenu wakuu..
Naombeni taarifa ya sehemu nitakapoweza kupata scholarship kwa vyuo vya hapa nchini kwa ajili ya Masters. Mimi napendelea zaidi SUA kwa kuwa digrii yangu ya kwanza niliipata hapo na nataka kuendeleza fani. Pia ningependa nipate taarifa ya sehemu ninayoweza kupata mkopo kwa ajili ya kulipia masomo hayo zaidi ya bodi ya
mikopo.

Shukuru Mungu umemaliza hiyo ya kwanza kuna wenzio bado wanahangaika kutafuta at lst hiyo moja kama uliyo nayo wewe vigezo wako navyo ila bado mikopo au hizo scholarship hawapati. Labda nikushauri hapo ulipofikia una uwezo wa kujipanga upate kazi au shughuli yeyote itakayoweza kukuingizia kipato ambacho utaweza kudunduliza kwa ajili ya kijifadhili mwenyewe ama masomo ya jioni au vyovyote utakavyoona inafaa lakini ukikaa kusubiri mikopo ama sijui scholarship utadumaza uwezo wako na kupoteza muda wako bure.... It can be done play yo part brother' wishing you best of luck
 
tumia elimu uliyonayo kukusanya pesa kisha ndo ukasome,kama umeajiliwa tumia kila mbinu umshawishi mwajili wako wakusomeshe hata kama ni kwa makubaliano flani ya kihalali.nakutakia mafanikio mema
 
Huwa kuna scholarship za Waswidi (SIDA SAREC) na Warorway (NOMA) kila mwaka. Jaribu kufuatilia chuoni kwenyewe wanaweza kukupa clues.
 
Mkuu kaeso, Kama wanavyo fanya wezetu wakenya ebu jaribu kuitisha harambee ili upate kianzio toka kwa ndugu, marafiki, jamaaa na ma classmate nina imani kabisa utapata msaada!
 
Hivi hii inawezekana?
 
Mkuu kaeso, Kama wanavyo fanya wezetu wakenya ebu jaribu kuitisha harambee ili upate kianzio toka kwa ndugu, marafiki, jamaaa na ma classmate nina imani kabisa utapata msaada!
Hii ni approach nzuri lakini kabla ya kuitisha inabidi kwanza nizichange mwenyewe kwanza.
 
Back
Top Bottom