Wapi nitapata mchele kwa bei nzuri Morogoro?

opondo

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
527
1,312
Naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la mchele mzuri maeneo ya Morogoro.

Mimi ni graduate nimejipiga piga nimepata mtaji kidogo around 600k (laki sita) soko la kuuza Dar nimepata maeneo ya Tandale Sokoni nilikua naomba kufahamishwa chimbo la Mchele kwa Morogoro.

Nilikua nafikiri niende mbali zaidi huko Kyela lakini mtaji wangu ni mdogo.
 
Nenda Ifakara au Turiani.

Ifakara bora zaidi. Nadhan kilo moja wanasafirisha kwa shilingi 100.

Power to you
 
Back
Top Bottom