Wapi nitapata matunda ya strawberry jijini Dar??

FAUMI

Member
Sep 30, 2013
19
2
Habari;

Nipo Dar na nahitaji matunda y strawberry, nitayapata wap?? Msaada tafadhali
 
Tsn supermarket ya mikocheni wanaweka sometimes. Shoprite ya kamata kitambo walikuwa nayo but nakumbuka kama ilishafungwa. Otherwise tx market ya kinondoni hata kama hayapo watakuagizia from morogoro.
 
Mi nilikua nanunua tsn supermarket upanga karibu na home shopping center
 
habari;

nipo dar na nahitaji matunda y strawberry, nitayapata wap?? msaada tafadhali.

Naweza kukuletea mat7nda ya strawberry either kwa jumla au rejareja kama unahitaji. Nipo Dar ila mashamba yangu yapo Morogoro. +255765452928 Emmanuel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom