Wapi nitapata machine ya kufyatua tofali ya mikono au ya kutumia mota?

mkuu nimejidhatiti naamini nitafanikiwa tu chapo changamoto hazikosekani?
Yeah... Mkuu changamoto zake zipo hasa namna ya kumaintain ubora kuna watu wanaanzaga vizuri alafu wakishapata wateja wa uhakika wanaanza kupunguza kiasi cha cement hili kupunguza cost ya utengenezaji
 
Nmependa style nayotaka kuanza nayo,nadhan itakua ya kipekee kuwelekea huduma mpka site,ni nzuri sana ila hapo nadhan ujitangaze sana ili wajengaji wakufuate,utafanikiwa naiman
 
Nmependa style nayotaka kuanza nayo,nadhan itakua ya kipekee kuwelekea huduma mpka site,ni nzuri sana ila hapo nadhan ujitangaze sana ili wajengaji wakufuate,utafanikiwa naiman
Ndio mkuu nimekusudia kupiga kazi natumai nitafanya kazi iliyo bora na nitapata wateja wengi uzuri watu huambizana kama kazi iko vyema.
 
Bora hiyo maana tofali za kununua ratio yake mara nyingi inakuwaga sio nzuri bora za kugonga mwenyewe.
 
Back
Top Bottom