Wapi nitapata koboko hapa Tanzania

Ataonekana kwenye habari akiwa amesimama pembeni ya ngozi ya huyo koboko kukiwa na silaha kazaa za jadi na atakua peku akitazama chini.
Daaah nmecheka kwa nguvu kwani nyoka ni nyara mbona mtaani wanauliwa tu hamna hata polisi anayeulizia, barabarani unakuta wameuliwa tu hovyo
 
Habari wana jamvi

Natafuta koboko au hata ngozi yake nchi 6 x9 na kuendelea kama unaye au unayo bei isizidi laki tano kwa koboko mzima au laki mbili kwa ngozi ndefu na safi
Hiyo ni nyara ya see serikali inaweza kukupeleka jela miaka 30 na faini juu
 
Back
Top Bottom