Wapi nitapata kengele (Bell)

Hizi kengele huwa tunatumia kuzipa ishara roho, ili ziwe katika unit ya kukaa kwa hali ya utulivu kwa ajiri ya roho kuu kuanza kuendesha ibada na miongozi ili portal ( malango nayo yafunguke ).. huamsha roho na kuziweka tayari, malango kufunga na shughuli za kiroho huanza
Uwepo Wa Mungu
 
Tumia rim ya gari au taluma la reli kama tulivyokua tunafanya shule.
Trust me, it can meet the purpose.
 
Muulize mtoa mada anaitaka ya nini? anataka kufungua kanisa au ndio hizo siri unazozisema :cool:
Mkuu
Ni Kwa Matumizi Mbalimbali
Hapo Juu Members Wamesema Huwezi Kuinunua Mpaka Sababu Ya Uhitaji Ijitosheleze Pia Ni Kwa Order.




Hakuna Namna Itabidi Utaratibu Ufuatwe
Nimeona Mchango Nchi Zinazotengeneza Kengele Ni Mbili Tu, Germany Na Italy Vatican City
 
Mkuu
Ushauri Mzuri Sana Ila Kuna Tofauti Kubwa Sana
Ukisikia Mlio Wa Kengele Toka Germany Na Italy Vatican City, Tunasema Hiyo Inalia Kama Kinanda




Rim Haaa Yenyewe Hata Nikitaka Fuso Najua Muda Huu Unaniletea Haraka Sana, 🤣🤣😃😄😄😅

Kiongozi huku nilipo wamefunga spika maalum wanatumia USB, mlio wake ni sawasawa na hizo kengele. .
 
Kiongozi huku nilipo wamefunga spika maalum wanatumia USB, mlio wake ni sawasawa na hizo kengele. .
Mkuu
Upo Wapi?
Ingawa Technology Nayo Ni Shida Usemalo Lipo
Kwahiyo Unanishauri Niachane Na Kengele?
Nakukumbusha Kengele Haina Mambo Ya Umeme Kukatika
 
Niko Hapa Bunda Mjini Muda Huu Alfajiri Naisikia Kengele Ikigongwa Taratibu Na Sauti Ikipaa Umbali Mrefu
Kengele Hii Sijui Inapigwa Kanisa Gani Maana Hapa Siyo Mwenyeji Sana. Chuma Cha Pua Lazima Nikinunue
 
Huo mstari wa mwisho huo,,
Hizo zinatengenezwa Kwa order
Lazima utolee maelezo ya kutosha unaenda kuifanyia nini Vinginevyo hupewi

Zinatengenezwa Italy Vatican city na Germany only

Ukiagiza Leo utapokea baada ya mwaka mmoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom