Wapi nitapata huduma ya kupima afya ya udongo?

majuze

Member
Aug 20, 2014
31
7
Habari wakuu?
Naomba kujua wapi nitapata huduma ya kupimiwa afya ya udongo kwa ajili ya kujua udongo unafaa kwa zao lipi? Nipo Mwanza
 
Kwa kanda ya ziwa sina uhakika sana,lakini hebu jaribu kucheki hapo Ukiliguru chuo cha kilimo.

But kwa huku Pwani tuna maabara hapo SUA na Mlingano Research Institute, Tanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa mkuu wa wilaya mahali ulipo kisha ulizia bwana kilimo wa wilaya hapo kidogo unaweza kujua mwanzo wa swala lako
 
Habari wakuu?
Naomba kujua wapi nitapata huduma ya kupimiwa afya ya udongo kwa ajili ya kujua udongo unafaa kwa zao lipi? Nipo Mwanza
Nenda hapo LZARDI Ukirigulu au panaitwa TARI Ukirigulu utapata huduma bila kupoteza muda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom