Wapi nitapata habari zaidi za ...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi nitapata habari zaidi za ...?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by cocochanel, Jul 5, 2010.

 1. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 18,457
  Likes Received: 59,404
  Trophy Points: 280
  wanaJF,
  Ningependa kufuatilia uchaguzi huu wa mwaka 2010, najua wanaanzaga uchaguzi wa nani atawakilisha chama gani majimboni na nk.

  Sasa naombeni mnipatie kama ni website au chochote nitakaposoma habari za uchaguzi, watoa nia na pia listi ya vitongoji au majimbo ya wanapogombania ubunge najua ni vingi sana ila nimejaribu kutafuta nitakapoona sehemu moja.

  Kwenye national website nimeona wabunge na majimbo yao ila siwezi jua ni jimbo gani. Nisaidieni nitafurahi kujua nchi yangu, vijana wengi wanachangamkia ubunge haya hongereni.

  Nashukuru.
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Jul 6, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  IPP huwa ina website inayohusu mambo ya uchaguzi tu; hasa mwaka 2005 kulikuwa na website inaitwa kurayangu.com
   
 3. Jumboplate

  Jumboplate Senior Member

  #3
  Jul 6, 2010
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani wazo zuri ni kila mwanaJF anaposikia tetesi za mtu mwenye nia ya kugombea jimbo lolote atutangazie na sie...si lazima wawe maarufu.
   
 4. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 18,457
  Likes Received: 59,404
  Trophy Points: 280
  Asante naona bado hawajaweka kitu ni frontpage ya ipp tuu.
   
 5. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 18,457
  Likes Received: 59,404
  Trophy Points: 280
  Kweli hivi pia itatusaidia tujue kinachoendelea
   
 6. Black Book

  Black Book JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2015
  Joined: Mar 2, 2015
  Messages: 209
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Fanya kunipatia hii deal ya kua reporter nianze kukusanya na kukuletea habari zote na matukio ya uchaguzi live kutoka Tanzania kila siku
   
Loading...