Wapi nitapata fundi wa funguo za gari?

jacquejaytee

Member
Jan 20, 2014
44
24
Heri ya mwaka mpya wana jamvi,funguo ya gari imeharibika aina ya suzuki splash,nimejaribu kwenda kwa maduka mawili matatu wote wameshindwa sababu ni suzuki na Kuna duka posta barabara ya samora mtaa wa mosque wataalam wa funguo lkn wameshindwa.

Yaani ufunguo umechomoka kutoka kwenye ile body yake hivyo kutengana na mkaa na gari haiwaki bila mkaa na funguo kuwa pamoja.

Kwa anaejua office ingine hapa dar tafadhali msaada
 
Nampatia wapi huyu lege
Mcheki Pm Kwa kumtumia meseji au piga namba yake hiyo kwenye picha.

Screenshot_20210103-152037.png
 
Heri ya mwaka mpya wana jamvi,funguo ya gari imeharibika aina ya suzuki splash,nimejaribu kwenda kwa maduka mawili matatu wote wameshindwa sababu ni suzuki na Kuna duka posta barabara ya samora mtaa wa mosque wataalam wa funguo lkn wameshindwa.Yan ufunguo umechomoka kutoka kwenye ile body yake hivyo kutengana na mkaa na gari haiwaki bila

Nampatia wapi huyu lege
0627136700 au 0717228064
 
NENDA SINZA KUMEKUCHA KARIBU NA KIBAO CHA KANISA LA KKT FUNDI ANAITWA MAGOTI AU MCHEK INSTER NA FB KWA JINA Fundi magoti tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom