jacquejaytee
Member
- Jan 20, 2014
- 44
- 24
Heri ya mwaka mpya wana jamvi,funguo ya gari imeharibika aina ya suzuki splash,nimejaribu kwenda kwa maduka mawili matatu wote wameshindwa sababu ni suzuki na Kuna duka posta barabara ya samora mtaa wa mosque wataalam wa funguo lkn wameshindwa.
Yaani ufunguo umechomoka kutoka kwenye ile body yake hivyo kutengana na mkaa na gari haiwaki bila mkaa na funguo kuwa pamoja.
Kwa anaejua office ingine hapa dar tafadhali msaada
Yaani ufunguo umechomoka kutoka kwenye ile body yake hivyo kutengana na mkaa na gari haiwaki bila mkaa na funguo kuwa pamoja.
Kwa anaejua office ingine hapa dar tafadhali msaada