Wapi nitapata fundi mzuri wa AC ya gari hapa Dar?

Muda si mrefu kuna member mpya ataibuka na ID ya makofia!

Hapa bongo watu wana vipaji vingi, tatizo ni jinsi ya kuwaendeleza, au kuviendeleza hivi vipaji. Mwisho wake wajanja ndio wanakuja kuchuma hela juu ya migongo ya watu, kama hawa makofia fake!

Kutokuwa na elimu ya kutosha kunatuangusha sana wabongo!
 
Back
Top Bottom