Wapi nitapata dawa hii inaitwa Dapson Tab

zzecaere

Senior Member
Jul 31, 2018
143
130
Wakuu poleni na majukum,

Naomba msaada wapi naweza pata hii dawa (dapson tab) nlienda na mgonjwa wangu kwa dermatologist alikuwa na kidonda mguuni akaandika hiyo dawa nimezunguka maduka yote hapa mbeya nimekosa.

Tafadhali msaada
 
Wakuu poleni na majukum .naomba msaada wapi naweza pata hii dawa (dapson tab) nlienda na mgonjwa wangu kwa dermatologist alikuwa na kidonda mguuni akaandika hiyo dawa . nimezunguka maduka yote hapa mbeya nmekosa. tafadhali msaada
Kwa Dar ukienda Mansoor Daya mtaa wa samora/posta huwezi kuikosa
 
Wakuu poleni na majukum .naomba msaada wapi naweza pata hii dawa (dapson tab) nlienda na mgonjwa wangu kwa dermatologist alikuwa na kidonda mguuni akaandika hiyo dawa . nimezunguka maduka yote hapa mbeya nmekosa. tafadhali msaada

Kuna duka la dawa linaitwa Bhojan,liko maeneo ya uhindini...kajaribu huko kama bado lipo hilo duka una 95% ya kupata unachokihitaji
 
Nenda sunrise phamacy ipo muhimbili karibu na bank.inauzwa 40000. Ilinisaidia sana hiyo.
 
Back
Top Bottom