Wapi nitapata Daktari wa kutahiri Watoto wadogo kuanzia mwaka

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Habari ya jumatatu,

Napenda kufahamu alipo Dr mzuri kwa hapa Dar ambaye anaweza kutahiri mtoto mdogo kuanzia mwaka nakuendelea.

Nitashukuru sana.
 
Hivyo ndivyo anavyotakiwa kufanya, kwa sababu jambo hili watu hulifanya sana.

Au labda kama mtaani kwao watoto hawakatwi vizuri, hivyo ameamua kutafuta sehemu nzuri zaidi.
 
Yupo k/koo nyuma ya sheli iliyopo pale fire, ni mzuri balaa ila uwahi maana watu wanakuwa wengi sana. Yule dr yuko vzr balaa
 
Back
Top Bottom