B bulabo JF-Expert Member Aug 20, 2015 620 759 May 18, 2020 #1 Habari ya jumatatu, Napenda kufahamu alipo Dr mzuri kwa hapa Dar ambaye anaweza kutahiri mtoto mdogo kuanzia mwaka nakuendelea. Nitashukuru sana.
Habari ya jumatatu, Napenda kufahamu alipo Dr mzuri kwa hapa Dar ambaye anaweza kutahiri mtoto mdogo kuanzia mwaka nakuendelea. Nitashukuru sana.
Khalu JF-Expert Member Oct 3, 2017 525 565 May 18, 2020 #3 Hivyo ndivyo anavyotakiwa kufanya, kwa sababu jambo hili watu hulifanya sana. Au labda kama mtaani kwao watoto hawakatwi vizuri, hivyo ameamua kutafuta sehemu nzuri zaidi.
Hivyo ndivyo anavyotakiwa kufanya, kwa sababu jambo hili watu hulifanya sana. Au labda kama mtaani kwao watoto hawakatwi vizuri, hivyo ameamua kutafuta sehemu nzuri zaidi.
gubegubekubwa JF-Expert Member Jun 9, 2008 637 814 May 18, 2020 #4 Yupo k/koo nyuma ya sheli iliyopo pale fire, ni mzuri balaa ila uwahi maana watu wanakuwa wengi sana. Yule dr yuko vzr balaa
Yupo k/koo nyuma ya sheli iliyopo pale fire, ni mzuri balaa ila uwahi maana watu wanakuwa wengi sana. Yule dr yuko vzr balaa
Mwifwa JF-Expert Member Apr 3, 2017 46,918 122,174 May 18, 2020 #5 Fundi wa kutahiri anaitwa Ngariba (Kiswahili shule ya msingi)
B bulabo JF-Expert Member Aug 20, 2015 620 759 May 18, 2020 Thread starter #6 Marunde said: Yupo k/koo nyuma ya sheli iliyopo pale fire, ni mzuri balaa ila uwahi maana watu wanakuwa wengi sana. Yule dr yuko vzr balaa Click to expand... Nashukuru sana kiongozi
Marunde said: Yupo k/koo nyuma ya sheli iliyopo pale fire, ni mzuri balaa ila uwahi maana watu wanakuwa wengi sana. Yule dr yuko vzr balaa Click to expand... Nashukuru sana kiongozi