Wapi nitapata brown rice

Mar 23, 2021
51
125
Sio wazee tuu

Sio hadi upate kisukari ndo ule brown rice na brown bread (ngano ambayo haijakobolewa).

Ukiamua kuishi maisha ya kujali afya yako na kuujali mfumo wako wa chakula, utakula chakula cha kuutunza mwili wako usishambuliwe na magonjwa/ ama kuupa mwili kinga dhidi ya maambukizi au mashambulizi = magonjwa.

@MANASEUBWABWA ukiupata brown rice nami ni mdau mkubwa.

Sawasawa
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
34,859
2,000
iringa kuna mashine inaukoboa tatizo litakuwa litakuwa logistic
Mkuu brown rice ni mchele ambao hadi punje yake ni brown.Angali picha hapa chini kwa punje za mchele ambazo zimevunjika utaona kuwa ni brown hadi ndani ya punje.How possible sasa mashine ikoboe mchele wa kawaida kisha upatikane mchele ambao ni brown?!
20210914_161109_temp.jpg
images-19098.jpg
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
34,859
2,000
Sio wazee tuu

Sio hadi upate kisukari ndo ule brown rice na brown bread (ngano ambayo haijakobolewa).

Ukiamua kuishi maisha ya kujali afya yako na kuujali mfumo wako wa chakula, utakula chakula cha kuutunza mwili wako usishambuliwe na magonjwa/ ama kuupa mwili kinga dhidi ya maambukizi au mashambulizi = magonjwa.

@MANASEUBWABWA ukiupata brown rice nami ni mdau mkubwa.
Rafiki hapa umecomment vizuri sana.I love you so much😍😍😍
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom