Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 495
- Thread starter
- #21
Nimekitumia picha mkuumkuu hio 1650 kwa monitor zetu hizi hakuna game ambayo hutacheza kwa 1080 60fps,
ila kama una monitor ya 4k ama tv hizi za UHD basi utahitaji gpu kali zaidi.
na hii dell mbona ni kadogo sana mkuu? ya kwako ni ndogo hivi? maana kunakuwa na sff, mini tower, tower etc. umejaribu kufungua cover kuangalia kama ina slot ya gpu?
ushauri wangu hio machine yenye watts 350 ndio inunulie gpu.
Poa mkuu yenyewe ile core i7 ya hp sema naweza nunua dizaini ingine kali zaidi kwa gpu nishauri tu maana naweza ieka ikawa soecific kwa gamesmkuu hio 1650 kwa monitor zetu hizi hakuna game ambayo hutacheza kwa 1080 60fps,
ila kama una monitor ya 4k ama tv hizi za UHD basi utahitaji gpu kali zaidi.
na hii dell mbona ni kadogo sana mkuu? ya kwako ni ndogo hivi? maana kunakuwa na sff, mini tower, tower etc. umejaribu kufungua cover kuangalia kama ina slot ya gpu?
ushauri wangu hio machine yenye watts 350 ndio inunulie gpu.
hii ni mid tower mkuu, kama ya kwangu gpu karibia zote zinaingia kwenye slot ya karibia na cpu, slot ya karibia na psu yenyewe inataka gpu nyembamba
mkuu utofauti wa 1650 na 630 ni mbingu na ardhi. 630 inapitwa zaidi ya mara 10 nguvu yake.Afu games hizi za unreal engine technology zilizotengenezwa na microsoft naona zina sumbua kwenye ile gpu ya nvidea gt 630
Okay m waking up now nashkuru sana kakamkuu utofauti wa 1650 na 630 ni mbingu na ardhi. 630 inapitwa zaidi ya mara 10 nguvu yake.
Kama una weza naomba uniinbox namba yako niko nakuja Dar by next week ntashkuru sana ukinisaidia juu ya hiliOkay m waking up now nashkuru sana kaka
Haupendi mademu? Unakula godoro?Mkuu hiyo dell specs hizo apo
Dell OptiPlex 3040 Desktop (Intel Core-i3 3.2 GHz, 4 GB RAM, 500 GB Storage, Intel HD ...
Pia mkuu naomba nishauri vizuri mkuu mimi sinywi pombe sipendi mademu hobby yangu ni games sasa nahitaji gpu nzuri kama kina kali zaidi hapa bongo ambayo nitadumu nayo haijalishi inakula mito (namaana inahitaji powersupp kubwa) au la mimi nielekeze maduka pia natanguliza shukrani
By the way niko kigoma so nataka niende dar kwa inshu zangu thats why naeka na hio concern ya gpu ili nikamilishe kila kitu mapema mkuu.
ASANTENI WADAU KWA MICHANGO YENU NA MUNGU AWABARIKI SANA
Kwani mbona niliona kama gtx 1650 inasapoti 4k pia chief?mkuu hio 1650 kwa monitor zetu hizi hakuna game ambayo hutacheza kwa 1080 60fps,
ila kama una monitor ya 4k ama tv hizi za UHD basi utahitaji gpu kali zaidi.
na hii dell mbona ni kadogo sana mkuu? ya kwako ni ndogo hivi? maana kunakuwa na sff, mini tower, tower etc. umejaribu kufungua cover kuangalia kama ina slot ya gpu?
ushauri wangu hio machine yenye watts 350 ndio inunulie gpu.
Inasupport ndio mkuu, hata kimeo changu Gt 1030 kinasupport 4k, sema natumia tu kuangalizia video na game ndogo sana. Games kwa 4k ni demanding sana compare na kuangalizia video ama content nyengine za 4k.Kwani mbona niliona kama gtx 1650 inasapoti 4k pia chief?
Duuh rtx 2080 mbili kwa mpigo si mchezo😀Inasupport ndio mkuu, hata kimeo changu Gt 1030 kinasupport 4k, sema natumia tu kuangalizia video na game ndogo sana. Games kwa 4k ni demanding sana compare na kuangalizia video ama content nyengine za 4k.
kwenye competitive games kwa 4k inabidi upate top end kama Rtx 2080 tena wengine wanaweka 2 kwa mpigo.
Mfano angalia benchmarks hapa
https://www.notebookcheck.net/NVIDIA-GeForce-GTX-1650-Desktop-GPU-Benchmarks-and-Specs.421420.0.html
Kwa games nyepesi kama fifa unapata hadi 80fps kwa 4k, ila games heavy kama just cause 4, battlefield v, division 3 etc fps hazifiki hata 20.
TV, monitor yangu ni 1080p. tv yenyewe ni clips tu za hapa na pale, internet 20mbps na 4k inataka angalau 25mbps inabidi udownload kwanza then uangalie baadae.Duuh rtx 2080 mbili kwa mpigo si mchezo😀
Unatumia monitor au TV kuangalia hizo video za 4K?
Kwa huku kwetu naonaga mambo ya 4k ni magumu video ya nyimbo ya dakk 3-4 nilishangaa unakuta ina mb 500-700+, sasa movie si itakuwa na gb 10+😀TV, monitor yangu ni 1080p. tv yenyewe ni clips tu za hapa na pale, internet 20mbps na 4k inataka angalau 25mbps inabidi udownload kwanza then uangalie baadae.
mkuu unafikiri kwanini games za ps3 zina gb 8 na game hio hio kwenye pc ina gb 50 ama 60? sababu kwenye pc unadownload texture zote za hd, full hd, 4k etc hivyo kuna uwezekano mkubwa game hio hio uliodownload ukiweka gpu kali ukacheza 4k.Kwa huku kwetu naonaga mambo ya 4k ni magumu video ya nyimbo ya dakk 3-4 nilishangaa unakuta ina mb 500-700+, sasa movie si itakuwa na gb 10+😀
Nilitamani niushuhudie video au games la 4k linavyokuwa quality ya picha.
Asante sana mkuu, umefafanua vyema sana.mkuu unafikiri kwanini games za ps3 zina gb 8 na game hio hio kwenye pc ina gb 50 ama 60? sababu kwenye pc unadownload texture zote za hd, full hd, 4k etc hivyo kuna uwezekano mkubwa game hio hio uliodownload ukiweka gpu kali ukacheza 4k.
na kwenye 4k mkuu kitu kikubwa kabisa ni HDR10, ambayo inafanya nyeusi iwe tii, nyeupe iwe pee na kila rangi ipop out. hivyo ukipata right display utofauti ni mkubwa sana.
kwenye movie ndio movie zake ni kubwa sana na cd za bluray zinakuwa humo humo kwenye gb 50, kwa codecs za sasa x265 inaweza kupunguzika hadi around 10gb, sema kuna codecs mpya za Av1 na nyengine fvc pengine by 2021 zitakuwa tayari hizi zitapunguza zaidi ukubwa. ukumbuke dvd ni 4.7gb na quality yake ni 480p, siku hizi unapata movie ama episode ya 480p hadi mb200 hivyo usishangae miaka ijayo 4k movie ikawa gb 2 ama 3
mkuu unafikiri kwanini games za ps3 zina gb 8 na game hio hio kwenye pc ina gb 50 ama 60? sababu kwenye pc unadownload texture zote za hd, full hd, 4k etc hivyo kuna uwezekano mkubwa game hio hio uliodownload ukiweka gpu kali ukacheza 4k.
na kwenye 4k mkuu kitu kikubwa kabisa ni HDR10, ambayo inafanya nyeusi iwe tii, nyeupe iwe pee na kila rangi ipop out. hivyo ukipata right display utofauti ni mkubwa sana.
kwenye movie ndio movie zake ni kubwa sana na cd za bluray zinakuwa humo humo kwenye gb 50, kwa codecs za sasa x265 inaweza kupunguzika hadi around 10gb, sema kuna codecs mpya za Av1 na nyengine fvc pengine by 2021 zitakuwa tayari hizi zitapunguza zaidi ukubwa. ukumbuke dvd ni 4.7gb na quality yake ni 480p, siku hizi unapata movie ama episode ya 480p hadi mb200 hivyo usishangae miaka ijayo 4k movie ikawa gb 2 ama 3
Page ya kwanza kumezungumziwa aina za graphics card.asa chief,
mbona ujaweka anunue aina gani ya card, ili iwe best kwake.
na sisi wapenzi watazamaji
Mkuu nini maana ya bottleneck nimeicheck google wanasema cpu lazima iendane na gpu otherwise kutakuwa na bottleneckPage ya kwanza kumezungumziwa aina za graphics card.
Na kutegemea na matumizi, aina ya power supply, urefu/upana wa pc yako ndio unachagua gpu. Bila kujua hivyo vitu ngumu kupata gpu inayokufaa.
Bottleneck inatokea either kwa cpu ama gpu na ni ile hali ya cpu ama gpu kuwa slow kuliko mwenzake na kusababisha hata kile unachorun kuwa slow.Mkuu nini maana ya bottleneck nimeicheck google wanasema cpu lazima iendane na gpu otherwise kutakuwa na bottleneck