Wapi nitapata Battery za Gari Genuine?

Sio kwa hizi zinazotoka hapo Kunya or Nairoberi...Maybe upate iliokuja na gari toka Japan
Halafu wabongo hatujui matumizi ya betri ikishazingua Mara moja unatupa na kununua nyingine. Mm betri Chloride Exide N70 (dry) ilizingua Agosti 2020 nikaenda kulichaji Kwa fundi uswazi Tsh. 2,000 tu mpaka leo linapiga kazi Safi tu
 
Uliinunua lini?
 
Back
Top Bottom