Wapi nitapata Battery za Gari Genuine?

Nenda mtaa wa Livingston kariakoo maduka yapo mengi ila leo jumapili mengi hayafunguliwi Kama vipi nenda kesho maduka mengi yatakuwa wazi pia unaweza kwenda lumumba kwa binslum Tyres company Wana battery pia

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Asante. Nitajaribu binslum.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau.

Naulizia maduka/ mtaa wenye maduka ambayo nitapata battery za magari ambazo ni genuine.

Kuwe na brands tofauti niweze kuwa na uchaguzi mpana.

Nipo Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia kwenye Betti za sola, mm niliweka mwaka Jana aborder N26 naitumia hadi leo iko bomba,gari jino moja imewaka. Bei nayo ni kitonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom