Wapi nitanunua vocha za jumla na mimi niuze jumla kwa Dar es Salaam?

Pierre2017

Member
Apr 16, 2019
48
28
Habari wa JF

Nataka kufanya biashara ya kuuza vocha za jumla lakini sijajua nanunua wapi hizo vocha,ukiwauliza wauzaji wa jumla kila mmoja anapiga chenga wengine wanasema hazina faida..mimi naomba kupata taarifa sahihi either kwa anaefanya hii biashara au anaejua taarifa sahihi!

Nawasilisha!

1627895739836.png
 
Kwa Voda....tembelea Vodashop Msimbazi...iko nyuma ya kituo cha mwendokasi msimbazi. Vocha za 500 utauziwa kwa 470 za 1000 kwa 940 za 2000 kwa 1880 za 5000 kwa 4700. Kila la kheri mkuu.

Nikinunua kwa bei hiyo nauzaje!?
 
Back
Top Bottom