Wapi ndege nane za ATCL? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi ndege nane za ATCL?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Geza Ulole, Jan 4, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 9,697
  Likes Received: 2,557
  Trophy Points: 280
  Hivi jamani kale kampango ka kununua ndege nane za ATCL around US$ 500 mio. kameishia wapi au kameota mbawa? wajameni maana Wachina wale wa Sonangol mara ya mwisho walimlilia Alhaji Dr Dr Dr (Waheshima) J. K. achukulie hatua wakina David Mataka na co. kwa ku-solicite rushwa! Mzee akamwamisha kituo! Je jamaa wameamua kugoma kutumbukiza mihela yao kwenye shimo hewa? au Mkulu Alhaji Dr Dr Dr (Waheshima) J.K. alimtuma jamaa ndo maana akashindwa kum-mwaga maana Wiki leaks inadodosa kweli na inawvua nguo Dr. Kawambwa alishawahi bisha ati hamna aliyedai rushwa aka 30%! Heko Alhaji Dr Dr Dr (Waheshima) J. K.!

  N.B.: Naona sasa hivi kuna Omar Nundu sasa sijui itavimba zaidi na mihela ya 30% au itapasuka kabisa maana sijui kama kutakuwa na jipya kwa mtu ambaye hajawai pimwa ufanisi mahali popote yaani wa NDIO mzee toka simu za IKULU....Type za kina Makyembe na Maghufuli huwa Mkulu anazigwaya katika ile MITIKASI maana ukibugi ze STEP hachelewi kujiuzulu na kukuanika! BTW tutajenga viwanja vya kimataifa Bagamoyo, Dodoma, Mwanza na Kigoma; pia tusisahau Kigoma itakuwa Dubai! na ndge bwerere zitanunuliwa na madeni tutalipa ikiwemo hata ile iliyo-park pale Mwanza iliyokuwa ikiruka bila bima! Unachezea...
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 882
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mkulu oyeeeee!!!
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2016
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,938
  Likes Received: 506
  Trophy Points: 280
  napita kmya kimya
   
 4. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2016
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,496
  Likes Received: 4,147
  Trophy Points: 280
  we noma
   
Loading...