Wapi NCCR?

Bhavick

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
314
57
Nakumbuka viongozi wa NCCR, walisema hawatasimamisha mgombea Igunga,ila watamuunga mkono,mpinzani anayeonekana ana nguvu.

Sasa tumeingia wiki ya mwisho,,

Je NCCR,inamuunga mgombea gani Igunga?
 
Nakumbuka viongozi wa NCCR, walisema hawatasimamisha mgombea Igunga,ila watamuunga mkono,mpinzani anayeonekana ana nguvu.Sasa tumeingia wiki ya mwisho,,Je NCCR,inamuunga mgombea gani Igunga?
Hao uwa ni watu wa oppotunity!nadhani kwa sasa wapo busy kumnusuru mbatia asipinduliwe,kumbuka hicho ni chama cha mapinduzi ya viongozi.
 
Nakumbuka viongozi wa NCCR, walisema hawatasimamisha mgombea Igunga,ila watamuunga mkono,mpinzani anayeonekana ana nguvu.

Sasa tumeingia wiki ya mwisho,,

Je NCCR,inamuunga mgombea gani Igunga?

wanasubiri mwenye dau kubwa la kuwahonga. Utajua mwenyewe nani mwenye dau kubwa
 
Back
Top Bottom