Wapi naweza tengenezai mhuri (stamp) mzuri na kuchapisha vyeti vya kununulia dawa dukani kwa DSM?

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,219
1,251
Wana JF!
Msaada tutani.
Nauliza sehemu ninapoweza kutengeneza stamp nzuri yenye ubora kwa ajili ya ofisi na pia kutengeneza vyeti vizuri vya dawa kutoka kwa daktari (prescription form) nikiwa Dar es Salaam? Ningependa kujua gharama zao na ikiwezekana hata mawasiliano yao.
Shukrani!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom