Wapi naweza pata walimu wazuri wa masomo haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi naweza pata walimu wazuri wa masomo haya?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Nyati, Oct 1, 2009.

 1. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,042
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Hi,


  Natafuta walimu wa masomo ya Computer. Topic zenyewe ninazohitaji pata ufahamu zaidi ni LAMP (Kwa ajili ya web based Database)

  yaani:

  Linux
  Apache
  MySQL
  PHP

  Kama kuna mwanajamii anayejua sehemu wanayofundisha masomo haya, naomba anifahamishe.

  Natanguliza shukrani za dhati.

  Nyati
   
 2. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unahitaji kujua au unataka na cheti? Najua mtu ambaye anaweza kukufundisha kama uko TZ ana charge 100USD/Hr. Kama unamuhitaji pm plz.
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Bei nzuri sana hiyo, 100usd/hr!!!!!! wapi na mm niache kazi zangu nije nifundishe?
   
 4. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hebu kuwa realistic mkulu......hata huko watumiao hizo fedha wenyewe hawachaji kiasi hicho....
   
 5. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45

  Wewe ni Katabazi au Katabuzi??????
   
 6. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hiyo bei ni hapahapa bongo? LOL!
   
 7. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Na akawachaji haohao wabangubangu watakaoingia kichwakichwa....
   
Loading...