Wapi naweza pata mashine ya kutengeneza juice ya miwa?

Mojawapo kati ya hizo machine.. itategemea bei yake..ndo maana nataka nijue bei ili nijue ninunue ip
kama upo dsm na utahitaji ya mkono tuwasiliane, yangu nauza 250,000/ kwa sababu nimekosa kijana mzuri wa kazi na mimi nipo tait sana.
 
Back
Top Bottom