Wapi Naweza Pata KitiMoto Nikiwa Mjini Mtwara?

Mwendabure

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,138
1,040
Hallow Mtwara!
Nataraji kuwa Mtwara Mjini kuanzia Tar.25 September Mungu akipenda! Ni mara yangu ya mwanzo kufika Mtwara.
Kwa yeyote anayejua maeneo mjini Mtwara ambako naweza kutembelea japo na kupata burudani na Udirinki kiasi baada ya kazi na hasa siku za mwisho wa juma anakaribishwa kutoa maelekezo kwa nia njema! Bila kusahau maeneo yanayopatikana Mdudu! (kiti na moto)
Napendelea sehemu za gharama inayoendana na kipato changu cha wastani. Kifupi najikuna ninapopafikia!
Nawachilicha!

NOAH wanapatikana kwa wingi ndanda mission parokia ya mtwara mjini

irrelevant details ndanda mission haipo mtwara mjini, na umbali ku2ka ndanda hadi mtwara mjini ni kama 180km. Na msaada wangu kwa muulza swali kitimoto kwa mtwara mjini inapatkana maeneo ya shangani muuzaji anaitwa kavishe na pia inapatkana nyuma cecy bar.

Mkuu kitimoto inapatikana Blantyre bar au nenda Bondeni bar. Pale utapiga kitimoto hadi asubuhi. Kama utakosa hizo sehemu mbili basi nenda Chikongola

irrelevant details ndanda mission haipo mtwara mjini, na umbali ku2ka ndanda hadi mtwara mjini ni kama 180km. Na msaada wangu kwa muulza swali kitimoto kwa mtwara mjini inapatkana maeneo ya shangani muuzaji anaitwa kavishe na pia inapatkana nyuma cecy bar.

Asante Mkuu! Nami nataraji nitafikia hapo Shangani dah! Hii imekaaje wajemeni?

Dah c uliwahi kuwa mkuu wa wilaya ya masasi du am sure we ni Nape

Mkuu muache mgeni wangu hapa kaja kwa wema mbona!! Kama vp msubiri jukwaa la zogo a.k.a siasa! Wakati fulani naamini huwa mnamchokoza Mwita25 ati!

Kanisani majengo au jirani na st. Augustine university! Niliwahi pelekwa na mwenyeji wangu sehemu hizo..

Mkuu muache mgeni wangu hapa kaja kwa wema mbona!! Kama vp msubiri jukwaa la zogo a.k.a siasa! Wakati fulani naamini huwa mnamchokoza Mwita25 ati!

haswaa huu ni uchokozi wa wazi... wakati mwingine inabidi tu relax kidogo

kitimoto ya ukweki nenda sabasaba ndani bar ya magereza. Muulizie mwana jf mwenzetu humu ngalangala akupe mwongozo maana ndo kwao huko

Mdudu wa blue tooth anapitikana container kwa bayona pale ligula hosp. Ukufika fanya mawasiliano nikupeleke pahala tukale pweza

Vitabu vyote vinazuia kula swahini we nyama zingine uzioni? kula kuku mtamu sana

Mdudu wa blue tooth anapitikana container kwa bayona pale ligula hosp. Ukufika fanya mawasiliano nikupeleke pahala tukale pweza

Mkuu Ngalangala nitakutafuta pindi nikifanikiwa kufika salama hapo! Unitembeze sehemu zote hadi mwishooo! Kuishi Mtwara kuna raha zake! Tali la la la la lila la la laaah.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom