Wapi naweza pata huduma ya westen union kwa siku za sikukuu kesho Jumatatu ya Pasaka?

Masekomaza

Member
Nov 6, 2017
84
113
Salama wakuu.

Nauliza ni sehemu gani naweza kupata huduma ya western union kwa siku ya kesho ya Jumatatu ya Pasaka?
 
Naomba kuuliza nataka nitumiwe pesa toka Malawi, je naweza kwenda posts yoyote Tanzania kupokea pesa hiyo via western union na niwe na vitu gani maana Ni Mara yangu ya kwanza
 
Naomba kuuliza nataka nitumiwe pesa toka Malawi, je naweza kwenda posts yoyote Tanzania kupokea pesa hiyo via western union na niwe na vitu gani maana Ni Mara yangu ya kwanza
Kitambulisho cha taifa/kadi ya kupigia kura/leseni ya udereva au hati ya kusafiria, chochote kati hivyo ukiwa nacho unapakuwa mzigo
 
Siku hiz huna haja ya kwenda bank wala posta labda mzigo uwe mkubwa,
Siku hizi unaweza pata pesa yako kupitia simu yako hata kama mtu yupo ulaya au America 🇺🇸. Ndani ya sikunde
 
Siku hiz huna haja ya kwenda bank wala posta labda mzigo uwe mkubwa,
Siku hizi unaweza pata pesa yako kupitia simu yako hata kama mtu yupo ulaya au America . Ndani ya sikunde
Nipe maelekezo anatumaje toka Malawi na Mimi napataje
 
Back
Top Bottom