Forecaster
Senior Member
- Nov 22, 2013
- 192
- 98
Kama kichwa cha habari hapo juu, natafuta genuine medical centre/hospital wanapofanya all parameters za body check up at least wana vipimo vyote kwa asilimia 80
Dar es salaam
Dar es salaam
Dar-group .Kama kichwa cha habari hapo juu, natafuta genuine medical centre/hospital wanapofanya all parameters za body check up at least wana vipimo vyote kwa asilimia 80
CF hii ya station road hata FBP tu ilikuwa haifanyiki!!!
Nenda amana hospital..Kama kichwa cha habari hapo juu, natafuta genuine medical centre/hospital wanapofanya all parameters za body check up at least wana vipimo vyote kwa asilimia 80
Njoo BENJAMIN MKAPA HOSPITAL DODOMADar es salaam
Mnatumia bima? Kwa kufaya check up?
Maabara Pekee ya Private kupata hadhi ya Five stars ikiwemo Muhimbili, Mbeya referral, KCMC& Bugando!!!Kuna jamaa wanajiita Lancet, wana vituo vingi hapa Dar.
Ingia google utawapata.
View attachment 1064159
Hao CF hawapokei NHIF card labda Kama wamea za sahivi!!! Pazuri sana palivyo na muonekano hata huduma zao zitakuwa njema tu...Mnatumia bima? Kwa kufaya check up?
asante sana mkuu, nilihitaji sehemu kama hii kama wamepata nyota tano watakuwa wazuri. Nitawacheck soonMaabara Pekee ya Private kupata hadhi ya Five stars ikiwemo Muhimbili, Mbeya referral, KCMC& Bugando!!!
Typed Using KIDOLE
Thanks mkuuKuna jamaa wanajiita Lancet, wana vituo vingi hapa Dar.
Ingia google utawapata.
View attachment 1064159
Thanks mkuu