Wapi naweza pata Hospital/Medical centre naweza fanya full check up ya afya

Forecaster

Senior Member
Nov 22, 2013
167
225
Kama kichwa cha habari hapo juu, natafuta genuine medical centre/hospital wanapofanya all parameters za body check up at least wana vipimo vyote kwa asilimia 80
 

Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
836
1,000
Njoo njiro resort tunywe bia achana na stresi za kupima. Kama huna huna tu, kama unayo njo tugonge bia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
16,949
2,000
Kuna jamaa wanajiita Lancet, wana vituo vingi hapa Dar.

Ingia google utawapata.

Screenshot_20190406-172909.jpg
 

Forecaster

Senior Member
Nov 22, 2013
167
225
Maabara Pekee ya Private kupata hadhi ya Five stars ikiwemo Muhimbili, Mbeya referral, KCMC& Bugando!!!

Typed Using KIDOLE
asante sana mkuu, nilihitaji sehemu kama hii kama wamepata nyota tano watakuwa wazuri. Nitawacheck soon
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom