Wapi naweza pata Audio CD/DVD za kujifunza Kiingereza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi naweza pata Audio CD/DVD za kujifunza Kiingereza!

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Iramusm, May 30, 2012.

 1. Iramusm

  Iramusm JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 425
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Friends,

  Anyone who knows where can I get these items i.e English Learning Materials/Courses in Audio CD/ DVD format?
   
 2. chardams

  chardams JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 1,992
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  i can get ou one of my own just call me on 0769 436393
   
 3. leh

  leh JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  utakuwa unajifunza kingereza kwa kutumia lugha ipi?? kama hujui lugha nyingine "kubwa" kama vile kifaransa, japanese.. utapata shida kutafuta audio cd za kujifunza kiingereza. au unajua kiingereza lakini unatafuta kupandisha vocabulary, grammar na sentence construction, yaani become an intermediate english speaker, then labda unaweza pata audio cds
  ila kwa vyote viwili, shauri wangu ni utafute tutor akupige pindi za kutosha utaimprove haraka
  mi hapa ni tutor wa kingereza (nina B.A ya Lit kutoka Nairobi Uni) na utoa huduma ya kufunza kiingereza kama personal tutor ila sana sana nadeal na dents wanaofanya GCSE lakini am sure naweza kukusaidia if you are interested.
  btw, nipo udsm na since tunafunga mwezi huu, sitakuwepo dar mpaka mwezi wa kumi chuo kitakavyofungua tena. ni pm kama upo interested
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  How much?
   
Loading...