DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Naomba kwa anayejua, anijulishe wanakopatikana hao wauzaji. Nipo Tabata Bima.
kitunda kivuleNaomba kwa anayejua, anijulishe wanakopatikana hao wauzaji.
sema mahali ulipo kwanza
Vipi una hitaji kuletewa??Naomba kwa anayejua, anijulishe wanakopatikana hao wauzaji. Nipo Tabata Bima.
unahitaji km tray ngapiNaweza nkakufuata pia
Unapatikana wap
unahitaji km tray ngapi
Kuna sehemu nyingi wanazouza mayai lakini kwa msaada fika mbagala maeneo ya kanisani karibu na round about ya barabara ya Charambe muda ni saa12- saa2:30 asubuhi
Vp mkuu ulishapata?Naomba kwa anayejua, anijulishe wanakopatikana hao wauzaji. Nipo Tabata Bima.
Jamani na mimi nataka mayai reja reja. Ni shingapi?Naweza nkakufuata pia
Unapatikana wap
Naomba uni Pm mimi pia.Mkuu kama hujapata Njoo Pm
Naomba unipm bei na wapi unapatikana.
Broo! VP mayai bado yanapatikana.?Mayai ya kisasa yanapatikana no zangu nitafute kwa mazungumzo 0759118523