Wapi naweza kupata shock abs/ suspension za sukuki swift?

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
hello JF,

nimezunguka sana kutafuta suspension za mbele za suzuki swift bila mafanikio, Natafuta mpya kwa sababu suspension used unakua hujui kwa uhakika iko katika hali gani, unaweza kutumia miezi miwili ikazima.

Kama unazo au unajua wapi naweza kupata tafadhali nijulishe, naomba unipe na bei

asante
 
Jaribu Japan.
Watanzania hatuna mazoea kuagiza vitu kwa net na bei inaweza kuwa poa zaidi kuliko Dar
 
kama vp wasiliana na dem mwenye no . hii alikuwa na tatizo kama lako kwenye gar yake ya swift likaisha 0714856543
 
kama vp wasiliana na dem mwenye no . hii alikuwa na tatizo kama lako kwenye gar yake ya swift likaisha 0714856543

hapo kwenye red hapo, yaani hadi aelewe kwamba shida yangu ni msaada tu wa wapi pa kupata shock abs ntakua nshatukanwa sana, au ye si wa style hiyo? maana dada zetu siku hizi ukimsalimia tu anajua unataka kumtongoza

Hata hivo nashukuru zepipo, nimemcheck lakini kwa sasa hapatikani, nitamcheck tena badae
 
Jaribu Japan.
Watanzania hatuna mazoea kuagiza vitu kwa net na bei inaweza kuwa poa zaidi kuliko Dar

Kama unajua namna naweza kufanya kuagiza kutoka Japan please help, kama itanipunguzia gharama nitafurahi kujaribu, mi nilidhani jamaa wanaship kama unanunua kwa wingi, didn't know kama naweza kuagiza set moja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom