Wapi Naweza Kupata Jack Daniel Halisi?

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau naambiwa huku mtaani baadhi ya Watanzania wamekuwa wabunifu sana. Wameanza kutengeneza kinywaji hicho chenye Heshima na hadhi kubwa kwa njia za kienyeji.

Kwa Wazoefu hebu tupeni taarifa sahihi kuhusu uvumi huu. Ni Wapi tutapata kinywaji halisi na pia Ni jinsi gani ya kutambua halisi.
 
Hadhi yenu nyinyi mathird world dwellers ni gongo tu, acheni kushadadadia vitu vilivyo nje ya uwezo wenu

tunaishi third world lakini tunauwezo wa kukuajiri na kukulipa mshahara unaolipwa huko first world, tunaishi third world lakini tunauwezo wa kuimport mpaka hao mademu wa first world wakaja hapa wakaishi kama wako first world na papuchi wakatoa day and night..
 
Mkuu punguza kuparamia na kushindilia viporo vya kande iliyochacha.

Unajua JD original wewee? Cocktails unazifaham wewe?

Third world dwellers bana?

Fanyeni kazi!
 
Naona wanywa gongo wenye hadhi tofautitofauti wakionyesha u-mwamba. Nipo hapa nawacheki.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom