Wapi naweza kupata hotuba za Rais Magufuli kwa pamoja tangu anapishwa kuwa Rais hadi mauti yanamkuta

Siyo vibaya maana nimeiga kutoka kwenu
Ok tusitoke nje ya mada

Lete hizo hotuba Nina uhitaji nazo zinifariji.

We endelea na roho mbaya hiyo Kama itakupeleka mbinguni Ni bahati yako.
 
Back
Top Bottom