Wapi naweza kupata 'hair remover' hapa Dar?

Ms Judith

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
2,563
918
Wapendwa,

Heri ya mwaka mpya!

Naomba nisaidieni mwenzenu,

Nimehangaika sana kutafuta Hair remover, ile dawa ya kuondolea nywele na vinyweleo mwilini, unapaka sehemu unayotaka kuondoa nywele/vinyweleo, unasubiri kama dakika tano hivi, kisha unaosha kwa maji na nywele/vinyweleo vyote vinakuwa vimetoka (nadhani kwa waliokwishaitumia wnaijua)

Kwa kweli nimetafuta sana hapa Dar kwa muda mrefu bila mafanikio. nimetafuta zaidi maduka yote maeneo ya Mlimani city, Mwenge, Kijitonyama/Makumbusho. Maduka makubwa makubwa kama game, Nakumatt, TSN nk. Kote sijafanikiwa kupata kwa kweli siamini kama hakuna bidhaa kama hii maeneo hayo niliyotaja.

Kwa huyo wapendwa, naombeni mnisaidie kwa anayejua wapi ninapoweza kupata nimetaja maeneo ya Mlimani city, Kijitonyama/Makumbusho kwa sababu kwangu ni rahisi zaidi kufika lakini kama kuna mtu anajua maduka yenye uhakika wa kupata mahali pengine, pia nitafurahi kuifuata hukohuko iliko.

Asanteni na mbarikiwe sama wapendwa.

Glory to God!
 
You are not serious.

Hair removal creams?? Mousse? Gels?? Ukose kote huko?

Anza kwa kutafuta Veet Hair Removal Cream. Nenda wanakouza razors na shaving foams.
 
Mpendwa,

kwa kweli jinsi nilivyochoka kutafuta, nikipata yoyote tu mi niko OKAY,

nashukuru sana mpendwa

blessed
 
Hebu Jaribu kuwaona S. H Amon ya pale Posta. Niliwahi kununua pale ile hair remover ( ya lotion
 
si kuwa nimekosa kila mahali, ila kutokana na shughuli zangu, nimetafuta zaidi maeneo ya mlimani city, mwenge, kijitonyama na makumbumbusha kwa sababu ya ukaribu tu wa kufika maenedo hayo (convenience).

otherwise, asanteni wapendwa, nitapitia huko kariakoo kama mlivyoshauri.

mbarikiwe sana

Glory to God!!
 
si kuwa nimekosa kila mahali, ila kutokana na shughuli zangu, nimetafuta zaidi maeneo ya mlimani city, mwenge, kijitonyama na makumbumbusha kwa sababu ya ukaribu tu wa kufika maenedo hayo (convenience).

otherwise, asanteni wapendwa, nitapitia huko kariakoo kama mlivyoshauri.

mbarikiwe sana

Glory to God!!


Nakumat zipo!
Mwenge maduka ya vipodozi yanahiyo bidhaa
 
Check aliexpress.com kuna hair remover products za aina kibao, una agiza moja kwa moja mpaka kwenye sanduku lako la posta toka China.
 
Check aliexpress.com kuna hair remover products za aina kibao, una agiza moja kwa moja mpaka kwenye sanduku lako la posta toka China.
Hii kitu ya online naipenda ila sijui jinsi ya kuagiza pia naona ka vitapotea pia.
 
You are not serious.

Hair removal creams?? Mousse? Gels?? Ukose kote huko?

Anza kwa kutafuta Veet Hair Removal Cream. Nenda wanakouza razors na shaving foams.

aiseee.....nimeogopa nikajua ni ya kutoa nywele za ubongo.....kumbe ni hizi hizi za kila siku.......oooh bwoooy......
hope keshapata..........
 
Wapendwa,

heri ya mwaka mpya!

naomba nisaidieni mwenzenu, nimehangaika sana kutafuta Hair remover, ile dawa ya kuondolea nywele na vinyweleo mwilini, unapaka sehemu unayotaka kuondoa nywele/vinyweleo, unasubiri kama dakika tano hivi, kisha unaosha kwa maji na nywele/vinyweleo vyote vinakuwa vimetoka (nadhani kwa waliokwishaitumia wnaijua)

kwa kweli nimetafuta sana hapa dar kwa muda mrefu bila mafanikio. nimetafuta zaidi maduka yote maeneo ya mlimani city, mwenge, kijitonyama/makumbusho. maduka makubwa makubwa kama game, nakumatt, TSN nk. kote sijafanikiwa kupata. kwa kweli siamini kama hakuna bidhaa kama hii maeneo hayo niliyotaja.

kwa huyo wapendwa, naombeni mnisaidie kwa anayejua wapi ninapoweza kupata.

nimetaja maeneo ya mlimani city, kijitonyama/makumbusha kwa sababu kwangu ni rahisi zaidi kufika. lakini kama kuna mtu anajua maduka yenye uhakika wa kupata mahali pengine, pia nitafurahi kuifuata hukohuko iliko.

asanteni na mbarikiwe sama wapendwa,

Glory to God!!
Weka Picha please
 
Back
Top Bottom