Wapi naweza kupata betri la Samsung s6 edge?

6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
649
1,116
Wasalaam Wana JF.

Simu yangu inachangamoto ya ukaaji wa chaji, Naomba nisaidiwe sehehmu nzuri ya kununua betri, pia fundi mzuri atakayenisaidia kuweka. Bila kisahau gharama za betri la Samsung s6 edge.
 
Back
Top Bottom