Salaam wana JF,
Naandika kwa hasira na kwa uchungu sana juu ya walichonifanyia wezi. Wamenitia hasara kubwa sana inayoenda kugharimu maisha yangu. Najua wapo watakaonishauri nimwachie Mungu, lakini pamoja na hayo, lazima nianzie ngazi za chini kabla ya kulifikisha kwa Mungu. Kwa anayemjua mtaalam mzuri wa kweli na ambaye pengine mwenye ushuhuda wa kazi yake, naomba anisaidie tafadhali.
Inauma sana.
Kuna hili jabali la ulozi hapa JF linaitwa Mshana Jr . Hili litakusaidia kuwanyoosha wezi wako.

Tahadhari: usilioneshe mke/demu wako... jamaa lina pepo la ngono.
 
Nitumie majina yako matatu kwanza na tarehe,mwezi na mwaka wako wa kuzaliwa inbox nikuangalie kwenye mitambo yangu kama unaweza kupewa msaada wa haraka au la
 
Wasaalam wanabodi.

Bila kupoteza muda, niombe niende kwenye mada husika. Kuna eneo flan nilinunua sehemu ila baadae baadhi ya wakazi wakaanza kuhujumu badhi ya shughuli zangu katika hilo eneo hilo, hasa mifugo iliyopo.

Kila mara ni wizi wa kuku au mbuzi na naona hili wamelizoea. Ili kukomesha kabisa tabia hizi za wizi, niombe mtu anayejua mganga nguli hasa kati ya mikoa ya Dodoma au Moro tuchekiane inbox.

Hili ni serious na ninalileta nikijua kuna vituo vya polisi. Nitashukuru kwa kupewa link ya huyo mtaalamu.
 
Mungu azidi kukutumia. Maana hii siri wengi hawaijui.
Nna rafiki angu shost sana....ana taasisi fulani hivi...sasa mara nyingi tunaonana sana kujengana..ana madhaifu yake...makubwa tu...ila kila saa10 lazima aende kanisan kusali had saa1...sasa siku 1 akaniambia huwa nasalije?..nikamwambia nasali kawaida...bas akaniintroduce kwa maombi makali yale strict...akaniambia wangari Mungu anakubariki zaidi ya hapa kama ukisali kwa kutia nia..its true...very true ..sema ndo hivyo kila mtu na imani yake..yaani yule dada ana hela....na zinamtembelea haswa...power of praying
 
Nna rafiki angu shost sana....ana taasisi fulani hivi...sasa mara nyingi tunaonana sana kujengana..ana madhaifu yake...makubwa tu...ila kila saa10 lazima aende kanisan kusali had saa1...sasa siku 1 akaniambia huwa nasalije?..nikamwambia nasali kawaida...bas akaniintroduce kwa maombi makali yale strict...akaniambia wangari Mungu anakubariki zaidi ya hapa kama ukisali kwa kutia nia..its true...very true ..sema ndo hivyo kila mtu na imani yake..yaani yule dada ana hela....na zinamtembelea haswa...power of praying
Safi sana. Ushuhuda mzuri sana unaojenga.

Ndiyo maana hata mimi nimeipenda comment ya kwanza kabisa.
Kwasababu najua siri iliyo ndani ya Maombi ya nguvu na kujitoa.

Yawezekana mtoa mada hana matatizo kama niliyopitia kabla ya wokovu.
Au yawezekana hajawahi pitia waganga kama nilivyopitia karibia kila mkoa bila mafanikio.

Ila siku napata wokovu, ndipo shida zangu zilipokwisha kabisa.
Hadi sasa ni amani ndani ya wokovu wa Kristo Yesu, Bwana na mwokozi wa maisha yangu.
 
Chief pole kwa kupelekwa kwa mtaalam feki,,tatizo ni kwamba matapeli wamegundua huo ni fursa basi wanatembea na matatizo yetu . Next time ukiihitaji connection ya ukweli njoo inbox
Nipe connection mkuu mm nasumbuliwa na wanga kisa nimejenga kakibanda ka kujihifadhi.
 
Nimeeka haya maelekezo kwa kumsaidia mtoa mada na wala sifanyi biashara wala kumpigia mganga yeyote promo, naomba muhusika kama atafanikiwa kwenda huko aje alete mrejesho na awape na wengine kwa faida yao, nitabeba dhambi moja, dhambi zingine jibebesheni wenyewe kwa wenyewe.
Hahahaha! huo myororo wa dhambi utakufuata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom