khalifa abdu
Member
- Aug 25, 2014
- 7
- 0
Kiongozi
Nenda sinza africasana, ukifika pale chepuka kama unaelekea ile njia ya mabatini, barabara ya pili mkono wa kushoto njia inayoingia mtaani kuna bango utaliona, hapo jengo lao ni nyumba nzima ni 30, 40 mpaka 50 nenda kauweke mwili timamu mkuu.hakika hutajutia
Nenda Maeneo Ya Upanga Tele
Ndiyo Maana Nilicheka Aliposema Bei Nafuu 😂😁😀Tatizo liko hapo kwenye kutaka ya bei nafuu....bei nafuu ndio kiasi gani?? unataka massage tu? Zipo nyingi sana sana saaaaana
anafikiri anaulizia kitimoto vile, aende akaapte kitu cha Jarkuz Massage kwa 50,000 tuNdiyo Maana Nilicheka Aliposema Bei Nafuu 😂😁😀
Upanga sehemu gani naeza pata namba tafadhaliNenda Maeneo Ya Upanga Tele
Anzia Diamond Jubilee Shuka Chini
Wapi inapatikana hiyo bossanafikiri anaulizia kitimoto vile, aende akaapte kitu cha Jarkuz Massage kwa 50,000 tu