Wapi mtu anaweza invest mtaji wa more than 1 Bilion for great return profits hapa Tanzania?

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
wana jamvi, kuna mtu anataka ku invest tanzania lakini hataki invest ndogo ndogo walau anataka sehemu ya kuwekeza ela isiyo pungua tshs 1 billion. Je sehemu gani anaweza wekeza na akawa sure kupata faida nzuri?
 
mkuu

investment inayofaa ni real estate, apartments or commercial buildings projects

if interested ni pm for apartment project in terms of joint venture investment in one of the very prime area in arusha city center, very good returns
 
Kilimo cha mashamba makubwa (large scale farming).
Ambapo unakua na irrigation schemes zitakazo supplement mvua. Pia kilimo kinakua mechanised na kuajiri farm managers.

Kulima chai,kahawa,zabibu au maua (horticulture). Chai kule nyanda za juu Kusini,inafaa kulimwa kwa large scale.
Zabibu inafaa sana Dodoma tena ukilima kwa umwagiliaji,utavuna sana. Pia unaweza kuwa na vyombo vyako vya usafiri kwa ajili ya kupeleka mazao sokoni. Hususani ukipeleka zabibu Arusha au Nairobi kuna soko na bei nzuri sana ya zabibu.

Maua yanaweza kulimwa Arusha na nyanda za juu Kusini. Tembelea wavuti wa Tanzania Horticulture Association kwa habari zaidi.
 
Kama hiyo hela unayo mkononi, nenda idara ya misitu ya serikali kaombe kibali cha kupasua mbao Mafinga na kusafirisha,( ili kupata faida kubwa nenda Chalinze nunua eneo kubwa jenga yard yako hapo ili ukitoka huko Mafinga na mzigo unashusha pale, naam wateja wa jumla wakufuate pale).
 
Kama ni Mtanzania awekeze katika "UBUNGE"; mwambie awahi kushiriki uchaguzi mdogo huko Meru. Kama ni mgeni, Tented lodge is a fast paying business at the moment
 
Kuna bonge la shamba linauzwa, lipo kiji cha kidimu kibaha. Hekari 100 bei ni M500. Hiyo hela yake akishapata eneo kubwa kama hili ndio atajua awekeze nini. Eneo hili halifai kwa kilimo sababu kumeshakuwa ni mji.
 
Mkuu ni PM nikupe dili la maana ndani ya mwaka unapiga faida ya bil2 that means unakua na bil3 after one year.
 
Mkuu ni pm nkukutanishe na mkurugenz mkuu wa shrika fulan hapa Tz anajua michongo ming sana na yenye faida
 
kilimo tu coz hata mjengoni wanalalama mkonge unadorora kwahiyo akiwekeza mitaa kama hiyo atafanikiwa tu.
 
wana jamvi, kuna mtu anataka ku invest tanzania lakini hataki invest ndogo ndogo walau anataka sehemu ya kuwekeza ela isiyo pungua tshs 1 billion. Je sehemu gani anaweza wekeza na akawa sure kupata faida nzuri?
Mkuu mwambie huyo bwana pesa billioni 1 haitaji tena kuangaika na investment, yeye aziweke benki atakuwa anakula interest kila mwezi bila jasho
 
da kama vipi tupo watu tunamaaidia ila hatuna mitaji kama vipi tuwasiliane ili nimpe proposal yangu.. kama vp ni PM ili tuongee zaidi
 
Mkuu mwambie huyo bwana pesa billioni 1 haitaji tena kuangaika na investment, yeye aziweke benki atakuwa anakula interest kila mwezi bila jasho

Rafiki kwa interest ya 2 % ya benki zetu kwa mwaka, kwa mwezi anapata mil 1.66 tu. Hiyo ni pesa kidogo sana. Kama yuko DAR benki pekee yenye interest kubwa kwa savings account ni Dar es Salaam Community Bank (DCB), ambayo inatoa 5 %. Na kwa pesa yake hiyo anapata mil 4.166 kwa mwezi angalau hiyo kama hana matumizi makubwa sana.
 
Riba ni haramu!
 
Mimi nadhani wana jf kinachotakiwa ni kumuelekeza wapi anaweza kupata faida kwenye pesa hiyo.kimsingi mimi nadhani ukiwekeza pesa hiyo katika ufugaji whether wa ng,ombe wa maziwa au kuku wa kienyeji,nadhani ndani ya miaka mitano wewe ni bakhresa.
 
mkuu

investment inayofaa ni real estate, apartments or commercial buildings projects

if interested ni pm for apartment project in terms of joint venture investment in one of the very prime area in arusha city center, very good returns

LAT vipi? Nimerudi mkubwa upo?
 
Back
Top Bottom