wapi mr. Nice

mbalila

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
823
157
wana jf napenda kujua yuko wapi Mr.Nice alikuwa mmoja ya wanamziki waliokuwa wanapendwa na watu wa kila lika
 
Yupo kwa bibi ako namtumbo anaimba "fagilia,fagilia Bongoo,,,,
Wawaaaaaaaaaaaaaa"
 
Muulize Dna Aliyempeleka Grandpa Records Badala Ya Kupiga Show Akawa Mlevi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom