mbalila JF-Expert Member Jul 19, 2013 823 157 Dec 27, 2013 #1 wana jf napenda kujua yuko wapi Mr.Nice alikuwa mmoja ya wanamziki waliokuwa wanapendwa na watu wa kila lika
wana jf napenda kujua yuko wapi Mr.Nice alikuwa mmoja ya wanamziki waliokuwa wanapendwa na watu wa kila lika
Kiboko. JF-Expert Member Jul 31, 2013 2,891 1,211 Dec 27, 2013 #2 Yupo kwa bibi ako namtumbo anaimba "fagilia,fagilia Bongoo,,,, Wawaaaaaaaaaaaaaa"
Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,840 Dec 27, 2013 #3 mbalila said: wana jf napenda kujua yuko wapi Mr.Nice alikuwa mmoja ya wanamziki waliokuwa wanapendwa na watu wa kila lika Click to expand... Aisee hali ya huyu jamaa ni mbaya sana
mbalila said: wana jf napenda kujua yuko wapi Mr.Nice alikuwa mmoja ya wanamziki waliokuwa wanapendwa na watu wa kila lika Click to expand... Aisee hali ya huyu jamaa ni mbaya sana
Ethical Ninja CEH JF-Expert Member May 16, 2011 3,695 5,032 Dec 28, 2013 #4 Usiku utamkuta Ambiance ( Anacheza pool table) ama Uhuru Peak anakunywa ndovu
Iamjac16 JF-Expert Member Dec 11, 2012 214 53 Dec 28, 2013 #6 Muulize Dna Aliyempeleka Grandpa Records Badala Ya Kupiga Show Akawa Mlevi