Wapi Mduara

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Nimemis miziki ya mduara kama ile ya wana njenje nataka w/end hii nijirushe nayo na jidada mmoja mwenye pesa zake (sijui ndo za dili za ofisini)

Naomba mwenye kujua anijuze mapemaaaaaaaa, ikiwezekana akaribie mida ya saa 2
 
USWAZZIIII HOTEL TANGAA NGUVUMALI:smile-big::smile-big:
Nimemis miziki ya mduara kama ile ya wana njenje nataka w/end hii nijirushe nayo na jidada mmoja mwenye pesa zake (sijui ndo za dili za ofisini)

Naomba mwenye kujua anijuze mapemaaaaaaaa, ikiwezekana akaribie mida ya saa 2
 
Nimemis miziki ya mduara kama ile ya wana njenje nataka w/end hii nijirushe nayo na jidada mmoja mwenye pesa zake (sijui ndo za dili za ofisini)

Naomba mwenye kujua anijuze mapemaaaaaaaa, ikiwezekana akaribie mida ya saa 2

Na ninavyokufahamu kaka, hilo jidada ungependa liwe ka kihaya!!!!!haya tenda hiyo nyie mijidada....................
 
Kabsaaaaaaaa mkuu acha hawa majidada ni hatari katika ile starehe ya mwisho

Yaaani
Piga kilaji
Cheza dance, muziki, disco
Ila baada ya yoote starehe ya mwisho ni majamboz tuu
 
Ndo pbs zenu hizo. kumbe ulikuwa mtego ili upate wa kuvinjari naye hapo umechemsha..mi nilizani ni dansi tu hafu kila mtu zake 50 km ndo hvo akuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:nono::nono:
 
Tunajua ndo zenu nyie, mkisemaga akuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu basi ndo ujue ngoma inogile hiyo!!!!!kwishney............kama utelezi wa bamia mwanangu!!!!!!!
 
Back
Top Bottom