Wapi maisha ni bora zaidi duniani??

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Je ni Africa, Ulaya, Marekani, Asia au kwingineko??

Najua kila mtu ana mtazamo tofauti, plz help out on this assignment.

Thanks in advance.
 
Maisha bora yatengeneze mwenyewe...popote duniani

ninavyoona dunian hapafai,maake kila mtu anahangaika usiku na mchana ili angalau apunguze makali ya maisha,...nafikiri ndugu yangu anapenda maisha bora zaid,ndio maana nikamshauri labda akajaribu ahera maake injili zote zinasifia sana hiyo sehemu.
 
Maisha popote yanaweza kuwa mazuri...........ni namna tu unavyoyaweka!!
 
Je ni Africa, Ulaya, Marekani, Asia au kwingineko??

Najua kila mtu ana mtazamo tofauti, plz help out on this assignment.

Thanks in advance.

Miji ya Gulf, kama vile Muscat, Doha, Manama, Sharjah, Abudhabi ni miji yenye maisha bora zaidi sana, na kama umepata job nzuri ndio utainjoi zaidi. (raha sana kuishi huko, wetu wao wema, wakarimu, na wanasaidiana sana, hakuna wizi, hakuna ukimwi).
 
Je ni Africa, Ulaya, Marekani, Asia au kwingineko??

Thanks in advance.
Ila nasikia ahera ni kuzuri sana,...utaenda:laugh:

Igwe, Jibu lako limekaa sawa kama utaingia Peponi Akhera ndio itakuwa bora zaidi kwako kuliko maisha ya duniani lakini kama utaingia motoni maisha ya duniani ni bora zaidi kwako kuliko akhera (lakini life ya duniani is very short life ukilinganisha na Akhera, kwa hiyo starehe yake ni ndogo sana ukilinganisha na satarehe za peponi)

Tuanze kutenda mema zaidi ili tuingie peponi Inshallah na tuache kabisa kutenda mabaya ili tuepukane na moto wa jahanam, kabla haijawa too late.

Asante mkuu.
 
make your own life and blieve in it. dont be bothered with such question because only lay man think that way dont be sill
 
Labda sikueleweka wakuu, nilimaanisha ni wapi ambapo unafikiri maisha ni magumu au bora.

Sasa ahera ni duniani jamani?
Plz acheni utani am serious on the question. Nimeleta kwenu manake najua wengi wenu humu mna exposure au angalau mmezunguka dunia hii hivyo mnaweza kunipa mwanga kwenye hili swala, ni wapi unafikiri maisha ni bora zaidi na kwa nini, iwe ni natural factor au man made factor.

Inaweza kuwa msituni, kwenye kisiwa au hata kwenye miji mikubwa duniani na vijijini.

Au kama ni hapa bongo kwa Kiwete pia sio mbaya.

Thanx sana kwa mliochangia hapo juu.
 
Maisha bora yapo pale ambapo mazingira yako au mahitaji yako yatapatikana bila shida. Mfano wewe ukiwa mcha Mungu wa kikristo sidhani utaona maisha bora kule Mecca Saudia au ukiwa mcha Mungu wa kiislam sidhani kama utaona raha ukiwa Vertican, kadhalika ikiwa umezoea maisha ya Bongo ivi kweli uta-enjoy Siberia? and vice versa wa Eskimo na Sahara desert wapi na wapi? Kwa ufupi maisha bora unayajua mwenyewe yapo wapi.....ukionacho wewe bora wengine wanaona cha kawaida au kibaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom